Download another hot new mp3 free audio song by Diamond Platnumz and this amazing song is titled ” Kwanini’
This track taken from his 2018 album titled ” A Boy from Tandale”
Listen up up below.
Diamond Platnumz – Kwanini DOWNLOAD
LYRICS
Ah! Usinione nalia, moyoni naumia
Kila siku ma-ugomvi, unanukia ma-bia Ina maana unataka useme huu moyo wangu hatambui Thamani ya mapenzi ndo’ imegeuka kuwa uaduiNimekuimbia nyimbo bado, nkakupa moyo bado
Nikakupa life na true love, ila baby bado Nimekuimbia nyimbo bado, nkakupa moyo bado Nikakupa life na true love, ila baby badoUkose raha (raha)
Kisa (kisa), kupendwa nawe
Kwanini ukose raha? (Raha) Kisa (kisa), kupendwa nawe Kwanini ukose raha? (Raha) Kisa (kisa), kupendwa nawe Kwanini ukose raha? (Raha) Kisa (kisa), kupendwa naweNishachoshwa na haya mapenzi
Visa mara mia kwa mwezi Mara leo limekwisha hili Kesho kutwa tena ghafla limezuka tena lingine ‘Choshwa na haya mapenzi Visa mara mia kwa mwezi Leo limekwisha hili, kesho lingine eh!You just don’t know
Naumia, ‘umia, ‘umia, ‘umia, ‘umia, eh-eh! You don’t know Naumia, ‘umia, ‘umia, ‘umia, ‘umia Iye hiiiKwanini ukose raha? (Ukose raha)
Kisa (kisa), kupendwa (ye-iye) nawe (nawe)
Kwanini ukose raha? (No, no, no, no!) Kisa, kupendwa nawe (nawe) Kwanini ukose raha? Kisa, kupendwa (kupendwa) nawe (nawe) Kwanini ukose raha? Kisa (kisa), kupendwa nawe