Download another hot new mp3 free audio song by Diamond Platnumz and this amazing song is titled ”Moyo Wangu’
This track taken from his 2018 album titled ” A Boy from Tandale”
Listen up up below.
Diamond Platnumz – Moyo Wangu DOWNLOAD
LYRICS
Moyo wangu hmee moyo wangu mama hmee
Moyo wangu mimi hmee umeniponza mama hmee Moyo wangu hmee moyo wangu mama hmee Moyo wangu mimi hme umeniponza mamaa ah ah ahUpole wangu simanzi eeh kwangu kupenda maradhi eeh mi nae bahati huwaga sinaa Jichoni kwangu kibanzi eeh ninakapenda kamanzi eeh
Lakini kupendwagaLicha ya kumthamini kama shilingi tatizo hata raha sinaa
Ufinyu wa mboni zangu (mboni zangu) unatazama mengi yanayonipa mateso Ukweli hata kupenda sina raha ona nakonda kwa mawazo Masikini penzi langu Gina lishakata na kauli roho inatoka kesho Kutwa nzima mara eeh mara iih hata najutakupendaaMoyo wangu hmee (moyo mama), moyo wangu mama hmee
Moyo wangu mimi hmee umeniponza mama hmee Moyo wangu hmee (moyo mama) moyo wangu mama hmee (moyo mama)Moyo wangu mimi hmee umeniponza mama
Hmm tenaa ni kutwa kucha maneno
Kosa sikosa maneno ili mradi tu karaha tantalila mmh sina raha Wala sina tena mipango(ha.ho) kutwa nzima na mawazo Gina uh aah Ooh sina raha oh mamaTamu ya wali ni nazi eeh
Raha ya supu mandazi eehRaha yangu mi kupendwa tu nae
Lakini nyota sinaa Laana napata na radhi eeh nawakufukuru wazazi eeh Kwa kung’ang’ana mi kutaka kuwa nae lakini bahati sinaMasikini roho yangu (roho yangu) ingelikuwa ni nguo ningempa avae
Kila kona akipita wamsifie ila lakini ni kikwazo Masikini penzi langu Gina lishakata na kauli roho inatoka keshoKutwa nzima mara eeh mara iih hata najuta kupendaaa
Moyo wangu hmee moyo wangu mama hmee
Moyo wangu mimi hmee umeniponza mama hmeeMoyo wangu hmee moyo wangu mama hmee
Moyo wangu mimi hmee umeniponza mama hmeeMoyo wangu hmee moyo wangu mama hmee
Moyo wangu mimi hme umeniponza mamaa ah ah ahMoyo wangu hmee moyo wangu mama hmee
Moyo wangu mimi hmee umeniponza mama hmee