Download another hot new mp3 free audio song by Diamond Platnumz and this amazing song is titled ‘ Nimpende Nani’
This track taken from his 2018 album titled ” A Boy from Tandale”
Listen up up below.
Diamond Platnumz – Nimpende Nani DOWNLOAD
LYRICS
Cha! Ah!
Nimpende nani? Nimpende, eh, eh Nimpende nani? Nimpende, ah-ah Nimpende nani? Nimpende, eh, eh Nimpende nani? Nimpende, ah-ahTai!
We nilikuwaga na mpenzi, akanizingua
Hivyo nataka mwenzi wa haya maradhi naugua Isije siku miezi, naye akanisumbua Ikawa tena kitenzi, mzigo kuutuaNaogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenzi
Wasije wakanitendaNikazama na huba kwa mapenzi ya kweli
Wakanicha wakaendaWe si unajua! Wazuri ni wengi lakini kumpata
Mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa Wengi ni wajanja watoto wa mjini Wamejawa utapeli, tamaaWazuri ni wengi lakini kumpata
Mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa
Wengi ni wajanja watoto wa mjini Nimpende nani? (Cha, ah!)Nimpende nani? Nimpende, eh, eh
Nimpende nani? Nimpende, ah-ahNimpende nani? Nimpende, eh, eh
Nimpende nani? Nimpende, ah-ahYasiwe kama ya Wema Sepetu, kila siku magazeti
Ajue nidhamu na mila ya kwetu, mjuzi kupeti-petiUsimtake ka ‘Uwoya nimteme ana hasira, mpole kama Jokate
Ila sauti ka’ Wema akiwa analia, kicheko kama cha FettyNaogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenzi
Wasije wakanitenda Nikazama na huba kwa mapenzi ya kweli Wakaniacha wakaendaWe si unajua! Wazuri ni wengi lakini kumpata
Mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa Wengi ni wajanja watoto wa mjini Wamejawa utapeli, tamaaWazuri ni wengi lakini kumpata
Mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa
Wengi ni wajanja watoto wa mjini Nimpende nani? (Cha, ah!)Nimpende nani? Nimpende, eh, eh (eh, eh, eh)
Nimpende nani? Nimpende, ah, ah (oh, nimpende nani?) Nimpende nani? Nimpende, eh, eh (mama-ma, eh, eh) Nimpende nani? Nimpende, ah, ah (mi nimpende nani?)