Evelyn Wanjiru – Hossana

Evelyn Wanjiru – Hossana (Remix)

Download another hot new mp3 free audio song by Evelyn Wanjiru and this amazing song is titled “Hossana”

Gospel Artiste Evelyn Wanjiru Released a New EP Titled “Waweza”, Which Consists Of 7 Powerful Songs That Will Uplift Your Spirit And Surely Be Worth A Place On Your Playlist.

Listen and download below.

Evelyn Wanjiru – Hossana DOWNLOAD

 

LYRICS

 

Hossana hallelujah hossana, ×3
Hossanaa…
Hosanna, hallelujah hosanna ×4
Eeeeh, Mataifa yamekusanyika kusema hossana,
Mwana wa daudi ndiye yule yuaja kwa wapendwa wake,
Yuaja kwa ujira wake,
Pia uyu mbarikiwa,
Yuaja kwa jina la bwana,

Na tuseme hossana.
Hossana hallelujah hossana, ×4
Nkitazama ndege wa angani, hawapandi wala kuvuna,
Na wewe baba wa mbinguni, huwalisha kila siku,
Na Mimi najua, utanilisha na kunivisha,

Ndiposa ninasema hosanna×2
Yeah .×5
Hosanna hallelujah hossana×4
Yeye ndiye yesu×4
Juu Sana… sana×4
Cheza×8
Shangwe na vigelele kwa yesu.