Evelyn Wanjiru – Unatosha

Evelyn Wanjiru – Hossana (Remix)

Download another hot new mp3 free audio song by Evelyn Wanjiru and this amazing song is titled “Unatosha”

Gospel Artiste Evelyn Wanjiru Released a New EP Titled “Waweza”, Which Consists Of 7 Powerful Songs That Will Uplift Your Spirit And Surely Be Worth A Place On Your Playlist.

Listen and download below.

Evelyn Wanjiru – Unatosha DOWNLOAD

LYRICS

Waa ohh oh
Yehee-ee-ee
Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu Mungu wangu
Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu
Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu
Niko mbele zako Bwana, nikikiri watosha
Amani yangu yatoka kwako
Jehova Nissi, ushindi wangu

Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu
Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu
Najua u pamoja nami, umenistawisha, ee Bwana
Kibali na upendo wako umenipa, Yehova
Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu
Ndio maana nasema watosha
Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu
Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu

Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu
Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu
Uuu. . (unayetosha Baba) … (nipiganie vita zote Bwana)…mtetezi wangu ni wewe Mungu wangu wewe
Oh Baba naomba unipe amani ya roho Bwana
Wape wanyonge Bwana amani

Bwana tetea walio wanyonge. .wasio na amani Bwana… waliokosa chakula Bwana
Wajane na mayatima Yehova
Watetee wote, tupe amani kwa sababu watosha… eeeeei
Unatosha Mungu wangu ee
Haleluya, haleluya unatosha …ee
Unatosha ee, hakuna kama wewe Bwana
Mtetezi wangu watosha