Joel Lwaga – Ananipenda

Joel Lwaga – Ananipenda

Download another hot new mp3 free audio song by Joel Lwaga and this amazing song is titled “Ananipenda”

Tanzanian Christian Gospel Artiste Joel Lwaga Released a New EP Titled “Sitabaki Nilivyo”, Which Consists Of 9 Powerful Songs That Will Uplift Your Spirit And Surely Be Worth A Place On Your Playlist.

Listen up below.

Joel Lwaga – Ananipenda DOWNLOAD

 

LYRICS

 

(Ee pale Calvary penzi lako lilidhihirika ndani
Ya maisha yangu Ee nitakupenda milele na milele)
Matesa yangu na mizigo
Nanii angechukua
Huzuni na kilio
Nani angeondoa
Laana zangu uu na mikosi nani angetwaa
Aibu yangu na majuto nani angefutaa

(Hehehe bila wewe ningekuwa wapi masiah)
Deni langu la dhambi nani angelipa (Hakuna)
Uzima wa milele nani angenipa
Namwita Baba(Babaa), na niita Mwana (a niita Mwana)
Ananipenda, Ananipenda Yesu
Nami nampenda, nampenda Yesu,

A-a-mebadili Historia yangu,
A-a-megeuza taarifa zangu
Kutoka kwenye aibu mpaka utukufu
(Mimi niliyekuwa chini ameniinua Bwana)
Kutoka mavumbini kuketi na wakuu
(Ameniinua na kunifuta machozi ame-ee)
Kutoka kwenye aibu mpaka utukufu
(A-aaaaa)
Kutoka mavumbini kuketi na wakuu

(Bwana-aaa)
Ananipe-endaa (Penda e-eeh)
Ananipenda Yesu-u (Ananiipenda e-eeh)
Ananipe-enda (Baba -aa)
Ananipenda Yesu-u (Ananipe-enda ee-h)
Nani nampenda (Sina budi kumpe-enda nami-ii)
Nampenda Yesu, nampenda-aa,
Anipe-enda, anipenda Yesu (Amenipenda nisiyestahili)

Ananipe-enda (Baba-aa wanaipenda e-eeh),
Ananipenda Yesu (nami nampenda) nami nampenda (nampenda-aa sina
Budi kumpenda) nami nampenda
(Nampenda Baba, nampenda e-eeh, ee-h eeeh)
(Instruments)
Nami nampendaa X 4