Download Rayvanny – Magufuli Jembe mp3 audio song lyrics
WCB Wasafi Records talented singer, Rayvanny has unleashed another new single titled, “Magufuli Jembe”.
In particular, Rayvanny released collection of songs which includes; ‘Magufuli Jembe’, ‘Ccm Wayaaa!’ and ‘Tunawabuluza’.
Finally, the new song was produced by S2Kizzy.
Download and share your thoughts on the comment section below!.
DOWNLOAD MP3
Rayvanny tunawabuluza lyrics
Jembe Jembe Jembe
Jembe Jembe Jembe
Tanzania ya leo inapendeza
Sababu ya Magufuli
Nidhamu kwa watumishi wa umma
Twahudumiwa vizuri
Rushwa imekomeshwa sio kama
Zamani
Siku hizi hata vigogo wanafikishwa
mahakamani
Fikra nzuri za baba wa taifa
kaendeleza hadi leo
Asilimia arobaini ya mapato kwa
maendeleo
Mtu wa msimamo mataifa mengi
yamekoma
Mikopo isio na tija na miradi feki
aimekoma
Alisema imekuwa sirikali sasa ipo
Dodoma
Kajenga ikulu cha mwino na kaipiga
teke Corona
Aya flyover TAZARA Ubungo, Ndio!
Standard gauge je? Ndio
Hospitali na zahoanati? Ndio
Shule bure kwa wanafunzi? Ndio
Magufuli jembe
Linalima, linalima lima linalima
Magufuli jembe letu
Linalima, linalima lima linalima
CCM jembe
Linalima, linalima lima linalima
CCM jembe letu
Linalima, linalima linalima
Taifa nzima linamuombea mema
Magufuli
Wakulima kawapigania walipwe vizuri
Wamachinga, wanampenda
Madereva, Wanampenda
Mama ntilie, wanampenda
Hadi watoto, wanampenda
Kina mama, wanampenda
Vijana na wazee, wanampenda
Hadi hadi wapinzani, wanampenda
Japo wanavunga, wanampenda
Haya maji na umeme hadi vijijini,
Ndio!
Nidhamu serikalini, Ndio
Mambo nimetukwa toka juu hakuna,
Ndio
Ndege kama zote, Ndio
Magufuli jembe
Linalima, linalima lima linalima
Magufuli jembe letu
Linalima, linalimalima linalima
CCM jembe
Linalima, linalima linma linalima
CCM jembe letu
Linalima, linalima linalima
Haya twende Pasha, pasha
Pasha, pasha pasha
Kina mama pasha, pasha
Pasha mikono pasha
Kina baba pasha, pasha
Pasha pasha pasha
Twendee
Magufuli, choma
Mama Samia, choma
Kassim Majaliwa, choma
Hadi mangula, choma
Haya twende pole pole, piga makofi
Mashiruali piga makofi
Dr Sheni piga makofi
Wigulu Chemba piga makofi
Makonda mikono juu
Kushoto kulia, kushoto kulia
Kibakwala mikono juu
Kushoto kulia, kushoto kulia
Mavunde mikono juu
Kushoto kulia, kushoto kulia
Tatulia mikono juu
Kushoto kulia, kushoto kulia
Peperusha bendera, aah bendera,
madiwani wote
Peperusha bendera, aah bendera,
wabunge wote
Peperusha bendera, aah bendera,
kina mama wote
Peperusha bendera, aah bendera,
CCM
Peperusha bendera, aah bendera